π youtube.com
Usalama wa Vijana Unaoimarishwa na Washauri wa Vijana na Familia - YouTube Inavyofanya Kazi
Kamati yetu ya ushauri ya vijana na familia huhakikisha kuwa sera za YouTube zinazingatia usalama wako. Wafahamu washauri wetu, ambao husaidia kuimarisha mfumo salama.
β https://www.youtube.com/intl/sw_ALL/howyoutubeworks/kids-and-teens/advisory-committee/